Action


UDART-1024x683

USAFIRI DAR ES SALAAM (UDART)

#ChangeTanzania tumekuwa tukipokea malalamiko mbalimbali kutoka kwa wanachama wetu na wananchi mbalimbali, kuhusu huduma wanazopata kutoka katika taasisi za serikali na binafsi. Tumekuwa tukiwasilisha hizo taarifa kwa wahusika ili hatua au maboresho yafanyike. Kwa muda mrefu tumekuwa tukipokea taarifa za malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu huduma wanazopata katika matumizi ya mabasi ya mwendokasi (UDART). Nyingi ya changamoto hizi zimekuwa zinajirudia mara kwa mara katika usafiri huu. ChangeTanzania tumekusanya maoni ya wananchi wanaotumia usafiri huu ili kujua matatizo sugu kwa misingi ya kuwasilisha kwenye mamlaka husika ili zipate fursa ya kuzishughulikia changamoto hizo. http://changetanzania.org/malalamiko-udart/ ‎
pesa_za_umma_changetanzania

Pesa za Umma

Tukiwa ni wapiga kura wa majimbo mbalimbali nchini Tanzania, tumechukua jukumu leo kutoa wito kwa wabunge na Rais wa JMT...
Read More
simcard_tax_changetanzania

Usitishaji Kodi

Tukiwa ni wapiga kura wa majimbo mbalimbali nchini Tanzania, tumechukua jukumu leo kutoa wito kwa wabunge na serikali kufuta tozo/kodi..
Read More
slider_change_tanzania-980x530

Katiba Mpya

Change Tanzania imeshiriki kikamilifu katika kutoa maoni na mapendekezo kwenye Katiba Mpya ikiwemo Uhuru wa...
Read More