“Never doubt that a small group of thoughtful, committed citizens can change the world; indeed, it's the only thing that ever has.” - Margaret Meade

#ChangeTanzania

Change Tanzania is a social media citizen movement. It started on social media specifically on Twitter as a hashtag #ChangeTanzania and quickly embraced as a movement by an informal grouping of individuals who are focused on bringing positive, sustainable change to Tanzania.

Okoa Maisha

ChangeTanzania ilishiriki kikamilifu kwenye kampeni ya #OkoaMaisha kwa kuhamasisha watu kushiriki zoezi la kuchangia damu kupitia mitandao yake yote. Tembelea link hapa. Kwa Vigezo vya Shirika la Afya duniani, Tanzania inahitaji chupa takriban 450,000 kwa mwaka #OkoaMaishaTZ

Katiba Mpya

Change Tanzania imeshiriki kikamilifu katika kutoa maoni na mapendekezo kwenye Katiba Mpya ikiwemo Uhuru wa Kupata habari, Uwajibikaji wa Taasisi na viongozi kwa wananchi na kuoanisha mfumo wa uwajibikaji pamoja na Uraia(ikiwa ni pamoja na uraia Mbili), Upatikanaji wa uraia na haki za raia wa ..

Take Action in Petition!
Sorry, There are no endorsed Petition for now, Please try again later!.
Latest Initiatives!